Skip to main content
Skip to main content

"Wengine wanadai mimi ni mwanaume"

  • | BBC Swahili
    15,024 views
    Duration: 2:24
    Herice Mukele alianza kuota ndevu akiwa na umri wa miaka 16, kwa sasa amejizolea umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii kwa namna anavyozitunza ndevu zake na mitindo wake wa kunyoa. Anasema watu wengi wamekuwa wakimnyooshea vidole na kudai kuwa anajinsia mbili kutokana na kuota ndevu kwa wingi sawa na wanaume. Hata hivyo kwa mujibu wa Daktari Selestine Mpili kutoka hospitali ya Medinova Jijini Dar es salaam anasema kitaalamu hali hii inasababishwa na mvurugiko wa homoni na inaweza kurekebishwa kwa kupata matibabu sahihi. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds alimtembelea na kuandaa taarifa hii Simulizi hii kwa urefu utaipata hapa hapa kwenye Youtube ya BBCSwahili, Tafuta neno Herice Mukele #bbcswahili #tanzania #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw