Wenye nyumba kando na jengo lililobomolewa Mombasa wataka fidia

  • | Citizen TV
    1,234 views

    Wamiliki wa nyumba zinazozunguka jumba lililoporomoshwa huko Mombasa wanalalamikia kupuuzwa na serikali ya kaunti hiyo, hata baada ya kuahidiwa fidia na mwekezaji pamoja na serikali ya kaunti. Wamiliki hao wanadai kukadiria hasara ya mamilioni ya pesa huku wapangaji wao wakihama