Wenyeji Molo wateketeza nyumba za wapishi wa pombe

  • | Citizen TV
    1,694 views

    Nyumba na mali ya thamani ya wapishi wa pombe imeteketezwa na wenyeji eneo la Molo kaunti ya Nakuru. Wenyeji wenye ghadhabu walihukua hatua hiyo na kuwalaumu viongozi kwa kuruhusu pombe haramu kutengenezwa na kuuzwa eneo hilo.