Mombasa ni mji mkuu wa pili Kenya ukiwa na zaidi ya watu milioni
1.5. Licha ya mji huo kuzungukwa na bahari wenyeji wanakabiliwa na uhaba
mkubwa wa maji safi na salama ya kunywa. Katika kukabiliana na uhaba huo shirika la Marekani la Give Power limejenga viwanda vya kusafisha maji vikitumia teknolojia ya kisasa. Ungana na mwandishi wetu wa Kenya Amina Chombo kwa taarifa kamili...
#majisafi #majisalama #majiyakunywa #uhaba #maji #teknolojia #nishatiyajua #kenya #mombasa #voa #voaswahili #dunianileo
1 May 2024
- The bodies of seven people who have drowned in various counties during the ongoing rains were found on Tuesday, while a search for two more is still ongoing.
1 May 2024
- The Council of Governors (COG) Chairperson, Anne Waiguru has urged Constitutional and Independent Offices to prioritize the protection of devolution in their constitutional duties.
1 May 2024
- As the nation celebrates the struggle for workers and the gains made in achieving labour rights, workers in the healthcare sector are still finding it hard to wear a grin.
1 May 2024
- At least three roads within Nairobi Metropolis have been partially closed and traffic redirected after they were flooded following heavy rains on Tuesday night.
1 May 2024
- World Bank President Ajay Banga said he expects donor countries to meet a request by African leaders to make record contributions to a low-interest facility for developing nations, saying these were not handouts but investments in the future.