Wenyeji wa Mombasa wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji safi

  • | VOA Swahili
    106 views
    Mombasa ni mji mkuu wa pili Kenya ukiwa na zaidi ya watu milioni 1.5. Licha ya mji huo kuzungukwa na bahari wenyeji wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji safi na salama ya kunywa. Katika kukabiliana na uhaba huo shirika la Marekani la Give Power limejenga viwanda vya kusafisha maji vikitumia teknolojia ya kisasa. Ungana na mwandishi wetu wa Kenya Amina Chombo kwa taarifa kamili... #majisafi #majisalama #majiyakunywa #uhaba #maji #teknolojia #nishatiyajua #kenya #mombasa #voa #voaswahili #dunianileo