Skip to main content
Skip to main content

Wenyeji wazua taharuki kuhusu madini Transmara

  • | Citizen TV
    279 views
    Duration: 3:15
    Taharuki ilitanda eneo la Kilimapesa huko Transmara Kusini, sbaada ya wenyeji kusitisha shughuli zao za uchimbaji madini kulalamikia madai ya baadhi ya wafanyabiashara kutaka kuwafurusha na kuendeleza biashara hiyo. Wakazi wanasema hawatakubali mwekezaji wa kigeni au hata wanasaisa kuhusishwa kuendeleza shughuli za uchimbaji wa madini eneo hilo.