Wetangula awaongoza wabunge kuifariji familia ya Injendi

  • | KBC Video
    243 views

    Wabunge wa bunge la kitaifa wamemwomboleza aliyekuwa mbunge wa Malava marehemu Malulu Injendi kama kiongozi ambaye mchango wake bungeni pamoja na eneobunge lake ni wa kukumbukwa. Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula aliyewongoza wabunge katika hafla ya maombi nyumbani kwake hapa jijini Nairobi, alisema marehemu Malulu alikuwa kiongozi aliyejitolea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive