Wezi waiba mbegu za Shirika la Ustawishaji wa kilimo ADC katika kaunti ya Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    434 views

    Shirika la ustawishaji kilimo nchini ADC limelalamikia ongezeko la wizi wa mbegu kwenye mashamba yao katika kaunti ya Trans-Nzoia. Kulingana na wasimamizi wa shirika hilo, wizi huo umechochewa na mahitaji mengi ya mbegu katika taifa jirani la Uganda.