WFP yaonya vita nchini sudan vyasababisha janga kubwa la kibiaadamu

  • | VOA Swahili
    140 views
    Shirika la Chakula Duniani –WFP limeonya Jumatatu kwamba mzozo unaoendelea nchini Sudan unasababisha maelfu ya familia kukoseshwa makazi kwenda Chad na Sudan kusini kila wiki, kukiwa na takriban watu milioni 25 wanakabiliwa na njaa na utapiamlo uliokidhiri. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.