White House yasema idadi ya vifo vya COVID-19 Marekani imevuka zaidi ya milioni

  • | VOA Swahili
    2,269 views
    White House inasema, idadi ya vifo kutokana na COVID-19 hapa Marekani, imevuka na kuwa zaidi ya milioni. Rais wa Marekani amesema nchi imefikia “ hatua ya kusikitisha” na kila kifo ni hasara isiyoweza kubadilishwa.” - Mzozo wa Ukraine umevuruga usammbazaji chakula na bei ya bidhaa duniani, ameeleza Rais Biden. - Maoni tofauti yanaendelea kuibuka baada ya kamati kuu ya chama cha upinzani Chadema kuwavua uanachama wabunge 19 wa chama hicho. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.