W.H.O imeidhinisha chanjo ya pili ya Malaria

  • | Citizen TV
    760 views

    Shirika la afya ulimwenguni limeidhinisha utumizi wa chanjo ya pili dhidi ya ugonjwa wa malaria. Chanjo hiyo itatolewa kwa watoto walio na umri wa kati ya miezi mitano na miaka mitatu. Barani Afrika mtoto mmoja hufariki kila dakika kutokana na malaria.