WHO yapokeza wizara ya afya vipakatalihsi 940

  • | Citizen TV
    22 views

    Wizara ya afya leo imepokea vipakatalihsi 940 ambavyo vitatumika katika kuhifadhi data ya wagonjwa humu nchini ili kurahisisha utoaji wa matibabu. Vifaa hivyo vimewasilishwa kwa waziri wa afya susan nakhumicha na dkt. Abdourahmane diallo ambaye ni mwakilishi wa kitaifa wa shirika la W.H.O