WHO yasema idadi ya hospitali zinazotoa huduma Ukanda wa Gaza zimepungua kufikia 18

  • | VOA Swahili
    2,836 views
    Shirika la Afya Duniani, WHO, limesema Idadi ya hospitali zinazofanya kazi katika ukanda wa Gaza imepungua kutoka 36 hadi 18 tangu kuzuka kwa mapigano kati ya Israel na wanamgambo wa hamas Octoba 7.⁣ Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari #gaza #hamas #israel #vita #hospitali #mahitaji #voa #voaswahili #dunianileo