- 119 viewsDuration: 2:34Wizara ya utalii inapendekeza ushirikiano baina yake na shirika la utangazaji humu nchini KBC ili kutanua wigo wake kukiuka maeneo asili ya kitamaduni na kushirikiana na taasisi zenye utajiri wa turathi za kitamaduni. Akizungumza wakati wa sherehe za kuadhimisha wiki ya redio duniani katika majengo ya shirika la utangazaji humu nchini KBC, katibu katika idara ya utalii John Ololtuaa alisema kuwa wizara inaendelea na kampeni ya kutambua vivutio vya kitaifa va kitalii na shirika la KBC linatarajiwa kuwa mshirika mkuu katika kuleta simulizi za safari ya utalii humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive