William Oduol ataka maridhiano na gavana wa kaunti ya Siaya James Orengo

  • | Citizen TV
    1,567 views

    Naibu wa gavana kaunti ya Siaya William Oduor ameitisha makubaliano kati yake na gavana wa kaunti hiyo James Orengo. Odour aliitisha kikao cha amani huku akihutubia wakaazi wa Siaya katikati mwa mji huku akisindikizwa chini ya ulinzi mkali baada ya kuvamiwa ofisini mwake. Oduor alisema kuwa wanafaa kutupilia tofauti zao na kuwahudumia wakaazi wa Siaya huku nia kubwa ikiwa kuwakitimiza wakaazi hawa waliyo ahidi katika manifesto yao. Oduor pia amewaomba viongozi wa dini kuingilia kati ili kutatua shida hii