William Ruto ahimiza umoja miongoni mwa wakenya

  • | KBC Video
    Takriban mabunge kumi ya kaunti yanatarajiwa kuidhinisha mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2020 hapo kesho. Mabunge ya Kaunti za Narok, Makueni na Machakos yamesema yako tayari kuunga mkono mswada huo utakapowasilishwa kesho na hivyo kuongeza uwezekano kwamba hitaji la kikatiba la kuwa na kaunti zaidi ya 24 zilizooithibisha mswada huo litatimizwa. Bunge la Kaunti ya Samburu ndilo la hivi punde kupitisha mswada huo na kufikisha 12 jumla ya kaunti zilizopitisha mswada huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive