William Ruto asema kuunganisha wakenya na kuhimarisha uchumi ndizo ajenda kuu za Kenya Kwanza

  • | KBC Video
    18 views

    Akizungumza alipoongoza kikosi cha Kenya Kwanza kwenye kampeni huko Rift Valley, naibu rais aliwatahadharisha wakenya dhidi ya kuhadaiwa kuwachagua wapinzani wake akisema utendakazi wake ni ishara tosha ya uongozi bora.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #WilliamRuto #KenyaKwanza #2022Campaigns