"William Ruto is a good example of a bad man," wanafunzi wa chuo kikuu cha Moi wasema

  • | Citizen TV
    9,675 views

    Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaandamana kupinga mfumo mpya wa ufadhili wa elimu ya juu. HHii ni licha ya baadhi yao kusitisha maandamano baada ya wizara ya elimu kuahidi kutatua utata uliopo. wizara hiyo imeunda kamati mbili zinazohusisha viongozi wa wanafunzi wa nyuo vikuu ili kutathmini hali na kutoa mapendekezo ya kuimarisha mfumo huo.