Willy Mutunga na wanaharakati wa utetezi wa haki za binadamu kutoka Kenya wazuiliwa kuingia Tanzania

  • | NTV Video
    675 views

    Aliyekuwa jaji mkuu nchini Kenya Willy Mutunga na wanaharakati wa utetezi wa haki za binadamu kutoka hapa nchini walizuiliwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere, Tanzania na kurudishwa nchini Kenya.

    Wakenya hao walikuwa Tanzania kuhudhuria kikao cha kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya