Wito kwa wakenya wa kutoa damu kuwafaa wagonjwa

  • | West TV
    19 views
    Wito umetolewa kwa Wakenya wa tabaka mbalimbali popote walipo nchini kujitolea kutoa damu kila mara ili kuimarisha viwango vya damu inayohitajika kuokoa maisha ya wakenya katika hospitali mbalimbali kote nchini.