Wito kwa Wakulima Trans Nzoia kukumbatia Kilimo cha Miwa

  • | West TV
    24 views
    Wakulima katika kaunti ya trans nzoia wametakiwa kujitosa katika kilimo cha miwa kutokana na faida ya kilimo hiki, kuwasaidia pia kuepuka hasara na changamoto zinazoambatana na kilimo cha mmea mmoja tu