Skip to main content
Skip to main content

Wito wa Amani: Askofu wa ACK Makueni awataka wanasiasa kusitisha kampeni

  • | Citizen TV
    506 views
    Duration: 2:39
    Askofu wa kanisa la kiangilikana kaunti ya Makueni Francis Matui amewaonya wanasiasa dhidi ya kampeini za mapema anazosema zimendelea kupandisha joto la kisiasa nchini. Kauli ya askofu huyo inajiri huku wakenya wakieleleza wasiwasi wao kutokana na ghasia ambazo zimekuwa zikishuhudiwa katika mikitano ya siasa.