Wito wa Askofu Mng’onda

  • | TV 47
    9 views

    Wakati huu wazazi wanapoendelea kuwapeleka shuleni wanao, wito umetolewa kwa jamii kutia bidii katika kutafuta fedha kwa ajili ya kuboresha maisha yao. Haya ni kwa mujibu wa askofu mkuu wa kanisa la kianglikana katika diosisi ya Taita Taveta Liverson Mng’onda. Ametoa wito huo wakati wa ibada ya shukrani kwa mbunge wa Wundanyi Danson Mwashako.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __