Wito watolewa kuimarisha viwango vya elimu Busia

  • | Citizen TV
    154 views

    Wazazi na walimu wakuu katika eneo bunge la Teso Kaskazini kaunti ya Busia wametakiwa kuwa macho kuhakikisha kuwa wanafunzi wanakamilisha elimu yao. Mkurugenzi wa elimu wa Teso Kaskazini Elizabeth Marangach akisema wanaopuuza kuwaelimisha watoto watakabiliwa kisheria.