Wito watolewa kwa akina mama kaunti ya Busia kujitokeza mapema kufanyiwa uchunguzi wa saratani

  • | Citizen TV
    129 views

    Wito umetolewa kwa akina mama katika kaunti ya Busia kujitokeza mapema kufanyiwa uchunguzi wa ugonjwa wa saratani ya matiti .