Skip to main content
Skip to main content

Wito watolewa kwa serikali kuimarisha afya ya akili ya maafisa wa usalama

  • | Citizen TV
    380 views
    Duration: 1:54
    Serikali imetakiwa kuipa kipaumbele afya ya akili ya maafisa wa usalama ili kukabiliana na ongezeko la visa vya ukatili wa kijinsia vinavyohusisha walinda usalama.