Wito watolewa kwa vijana kujihusisha na hafla za kitamaduni na kufahamu mila na tamaduni zao

  • | K24 Video
    35 views

    Wito umetolewa kwa vijana kujihusisha na hafla za kitamaduni na kufahamu mila na tamaduni zao. Haya yalijiri wakati wa sherehe za kila mwaka za kitamaduni za jamii ya abatsotso katika kaunti ya Kakamega. Katika sherehe hizo wakazi walifanya maonyesho tofauti ya utamaduni wao.