Wito watolewa kwa Wakenya kuzingatia usafi wa chakula

  • | KBC Video
    27 views

    Takriban watu 600 huugua kwa kula chakula kilichoharibika huku watu elfu-420 wakifariki kila mwaka kote duniani. Kwa mujibu wa wizara ya afya, magonjwa yanayotokana na ulaji chakula kisichofaa yanachangia asilimia 70 ya visa vya kuharisha humu nchini. Hata hivyo wizara hiyo imeelezea matumaini kwamba kupitishwa kwa mswada wa chakula na lishe bora kutasaidia kukabiliana na magonjwa hayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive