27 Feb 2026 1:59 pm | Citizen TV 232 views Duration: 1:31 Wito umetolewa kwa serikali kuongeza mgao wa fedha katika shule ili kutimiza azma yake ya kuhakikisha uhamisho wa asilimia 100 wa wanafunzi katika sekondari za juu wakiwemo wale wanaoishi katika hali ya uchochole