Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya afya imeanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha mama mjamzito katika hospitali Kakamega

  • | Citizen TV
    281 views
    Duration: 2:11
    Wizara ya afya imeanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha mama mjamzito katika hospitali ya kimisheni eneo la Mukumu kaunti ya Kakamega. Akizungumza mbele ya kamati ya bunge, waziri Aden Duale amesema wizara hio inafuatilia chanzo cha kifo cha grace wambui misgito ambaye taarifa yake iliangaziwa na runinga ya citizen hapo jana. Kulingana na familia ya mama huyo, kulikuwa na utepetevu wakiongeza kuwa wauguzi katika hospitali hiyo walimdhulumu na kumtandika akijifungua hadi akafariki