Wizara ya afya imeashiria haja ya kuhakikisha kuwa kuna wahudumu wa afya wa kutosha

  • | K24 Video
    22 views

    Ili kuziba mianya katika wizara na sekta ya afya kwa ujumla, wizara hiyo imeashiria haja ya kuhakikisha kuwa kuna wahudumu wa afya wa kutosha. Waziri wa afya susan nakhumicha amesema kuwa wizara yake ipo tayari kushirikiana na washikadau wote katika sekta ya afya ili kuhakikisha kuwa wakenya wanapata huduma bora za afya.