Wizara ya afya imeonya taasisi za afya dhidi ya kuhodhi dozi za chanjo ya Covid 19

  • | KBC Video
    Wizara ya afya imeonya taasisi za afya dhidi ya kuhodhi dozi za chanjo dhidi ya COVID-19. Akiongea baada ya kupokea vifaa 20 000 vya kupima ugonjwa wa Covid 19 kutoka hospitali ya chuo kikuu cha Aga Khan, katibu katika wizara ya afya Susan Mochache alisema serikali itachukua hatua kali dhidi ya hospitali yoyote inayohujumu shughuli ya utoaji chanjo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive