Wizara ya afya imewataka madaktari watarajali kusitisha maandamano yao

  • | K24 Video
    113 views

    Wizara ya afya imewataka madaktari watarajali kusitisha maandamano yao ili watoe nafasi kwa mazungumzo. Hata hivyo, madaktari wanaendelea kuandamana nje ya makao makuu ya wizara ya afya jijini Nairobi kwa siku ya pili ya maandamano yao ya kushinikiza serikali kuwapangia kazi madaktari hao kuambatana na mkataba wa pamoja wa mwaka 2017