Wizara ya afya inawapa chanjo wahudumu wa matatu

  • | Citizen TV
    Wizara ya afya inawapa chanjo wahudumu wa matatu Chanjo hiyo inatolewa katika vituo mbalimbali Nairobi Kampeni ya kuwapa watu zaidi chanjo imeimarishwa Wahudumu wa afya wamekita kambi katika vituo vya matatu