- 299 viewsDuration: 3:23Wizara ya Afya katika Kaunti ya Trans Nzoia imeanzisha harakati za kukabiliana na vifo vya kina mama na watoto wakati wa kujifungua. Hatua hii ikifanikishwa kufunguliwa kwa hospitali mpya ili kuhakikisha huduma zinafika karibu na wakazi. Collins Shitiabayi anaarifu zaidi