Wizara ya afya kurejesha mpango wa Linda mama

  • | Citizen TV
    108 views

    Ni matumaini makubwa kwa kinamama nchini baada ya serikali kutagaza azma yake ya kurejesha mpango wa “LINDA MAMA”. mpango huu , unalenga kuwanufaisha kinamama wajawazito kwa kupunguza gharama ya matibabu wakati wa kujifungua