Wizara ya afya yaanzisha mikakati ya kuhakikisha kuwa magonjwa hayasambai kambini

  • | Citizen TV
    222 views

    Wizara ya afya imeanzisha mikakati ya kuhakikisha kuwa magonjwa hayasambai katika kambi za waathiriwa wa mafuriko.