27 Oct 2025 1:20 pm | Citizen TV 456 views Duration: 1:36 Katibu wa Afya ya umma na viwango vya kitaaluma Mary Muthoni amewaonya wamiliki wa buchari wanaouza nyama bila kukaguliwa, akisema hali hiyo inahatarisha maisha ya wakenya.