- 478 viewsDuration: 2:39Wizara ya Afya imeidhinisha hospitali 8 za nchi za nje kutoa matibabu kwa wakenya kupitia Mamlaka ya Afya ya Jamii, SHA. Hospitali hizo ambazo zitatoa matibabu baada ya wagonjwa kupata rufaa zimeidhinishwa kutumia shilingi 500,000, kwa matibabu maalum ambayo hayapatikani humu nchini. Haya yanajiri huku mshukiwa wa ulaghai wa SHA Harun Liluma akishtakiwa kwa makosa kadhaa ya ulaghai na kuendesha vituo 8 vya afya bila leseni.