WIZARA YA AFYA YAOMBA KUONGEZEWA BAJETI 2025/2026

  • | K24 Video
    250 views

    Wizara ya Afya imetoa ombi la kuongezewa bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ikisisitiza kurejeshwa kwa ufadhili wa Shilingi milioni 680 kwa Chuo cha Mafunzo ya Matibabu cha Kenya (KMTC) na kuimarisha udhibiti wa sekta ya afya. Waziri wa Afya, Aden Duale, aliwasilisha hoja hiyo mbele ya Kamati ya Bunge ya Afya leo.