- 423 viewsDuration: 1:05Taifa la Kenya lilijiunga na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya kimataifa ya afya ya akili duniani huku ikibainika kuwa takriban asilimia 75 ya wakenya wanaopitia changamoto ya afya ya akili hawapati huduma wanazohitaji .