Wizara ya Afya yasema imefichua ulaghai wa milioni tatu katika bima ya afya ya kitambo ya NHIF

  • | NTV Video
    84 views

    Wizara ya afya sasa inadai kumekuwa na ulaghai katika bima ya afya ya kitambo ya NHIF, ikisema kuna zaidi ya visa milioni tatu vya ada za matibabu hewa ambavyo vimegunduliwa wakati wa shughuli ya uhamisho kwenye bima ya jamii kwa wote SHA.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya