Wizara ya afya yashutumiwa kwa madai ya ubaguzi wakati wa uteuzi

  • | KBC Video
    18 views

    Baadhi ya vyama vya wahudumu wa afya humu nchini vinashutumu wizara ya afya kwa kuwabagua baadhi ya maafisa wakati wa uteuzi wa wasimamizi katika wizara ya afya. Vyama hivyo vikiongozwa na chama cha maafisa tabibu-KUCO vinasema kwamba nyadhifa hizo zinapaswa kuwaniwa na maafisa wote na kwamba baadhi ya masharti yamepindwa ili kuwafungia nje wanachama wao. Nancy Okware na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive