Wizara ya afya yatetea matozo ya asilimia 2.75 ya mshahara

  • | KBC Video
    134 views

    Wizara ya afya imetetea matozo ya asilimia 2.75 ya mshahara yaliyopendekezwa kwa hazina mpya ya bima ya afya ya kijamii, ikisema bima hiyo itafaa idadi kubwa ya watu nchini kwa kupunguza kiwango cha malipo. Waziri wa afya Susan Nakhumicha amesema wakenya hata hivyo wana fursa ya kupendekeza kupunguzwa kwa kiwango hicho wakati wa hafla za ukusanyaji maoni na utungaji sheria huku akipuuzilia mbali dhana kwamba matozo hayo yanalenga kuwanufaisha maskini kwa kuwanyanyasa matajiri.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive