Wizara ya Afya yawapa madaktari wanafunzi siku 14 kurejea kazini

  • | Citizen TV
    483 views

    Katibu wa huduma za matibabu Harry Kimtai amewapa madaktari wanafunzi siku kumi na nne kurejea kazini. Katibu huyo amesema ameonya kuwa kukiukwa kwa agizo hilo kutaathiria kazi yao. Aidha chama cha kmpdu kimesisitiza kuwa hakitatishwa kusitisha mgomo na kwamba watahakikisdha makatka yao yanatimizwa. Wakati huo huo madaktari wanatishia kumshtaki Inspekta Jenerali wa polisi kwa matamshi yake kuhusu mgomo wa madaktari nchini.