13 Mar 2026 1:08 pm | Citizen TV 772 views Duration: 1:06 Wizara ya afya imetoa tahathari kwa wazazi kuchunguza mienendo ya watoto wao ili kukabilina na utumizi wa dawa za kulevya, ikisema hulka hii imesambaa sana na inachochewa pakubwa na mabadiliko ya mitindo.