5 Aug 2026 1:49 pm | Citizen TV 1,193 views Duration: 2:31 Wizara ya Ardhi imeanza Mchakato wa Kuwalipa Wamiliki wa Ardhi Kwenye kwenye eneo lililotengewa ujenzi wa Daraja la Mto Nithi katika kaunti ya Tharaka Nithi, ili kufanikisha ujenzi huo.