WIZARA YA ELIMU AHIDI KUTOA SH. BILIONI 21 KWA SHULE ZA UMMA

  • | K24 Video
    16 views

    Wizara ya Elimu imetangaza kwamba itatoa Shilingi bilioni 21 kwa shule za umma kuanzia Jumatatu ijayo. Hata hivyo, fedha hizo zimechelewa kwa wiki moja tangu kuanza kwa muhula wa pili. Bado kuna mjadala kati ya wizara na walimu wakuu kuhusu malipo ya ziada wanayopaswa kutozwa kwa wazazi.