Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya Elimu imetoa onyo kali dhidi ya watu wasiosajiliwa na Tume ya Huduma kwa Walimu

  • | Citizen TV
    280 views
    Duration: 1:36
    Wizara ya Elimu imetoa onyo kali dhidi ya watu wasiosajiliwa na Tume ya Huduma kwa Walimu kuingia shuleni na kutoa mafunzo yoyote, ikiwemo uigizaji pamoja na michezo mbalimbali kwa wanafunzi.