- 487 viewsDuration: 2:41Wizara ya Elimu iitaunganisha au kufunga baadhi ya shule zenye idadi ndogo ya wanafunzi au zile ambazo hazina miundombinu ya kutosha. Katibu katika wizara ya elimu Profesa Julius Bitok amesema kuwa hatua hiyo itasaidia kuboresha ufanisi wa mtaala wa CBE na kuhakikisha shule hizo zinapata rasilimali za kutosha.